Bursaspor ya Turkey imefanya mazungumzo na winga wa Simba Sc Anicet Oura (26) kuhusu nia ya kumsajili kwaajili ya msimu ujao.
Wiki ijayo itakuwa ni wiki muhimu ya kujua hatma yake.
Bursaspor imepanda ligi kutoka daraja la tatu hadi la pili nchini humo

Simba SC
Bursaspor 